Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #32,261
Saivi madrid sio km zamani falsafa ya zidane anapenda nakinda ili waje kuwa future ya mbeleni, zidane ndie anayepanga amchukue nani na alikwisha mueleza perez tht y inakuwa ngumuYaani Perez amezingua sana kashindwa kununua striker mmoja wa uhakika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dogo na mu admire hadi basi ntaumia madrid tukishindwa mtunza , wao wa spain wanaita dani sebayoc(ceballos )
Huyu dogo na mu admire hadi basi ntaumia madrid tukishindwa mtunza , wao wa spain wanaita dani sebayoc(ceballos )