nguluviyihuvye
Senior Member
- Oct 13, 2011
- 173
- 213
Hatukuwa lna haja ya kuuza Morata halafu sahivi tuanze kununua tena.Benzema nikimsikia natamani tuwauzie ata lipuli fc , tunaitaji striker mdogo mdogo nafikiri yupo dogo wa ajax atatufaa sana [HASHTAG]#benzemaout[/HASHTAG]
Pia kumbukeni tulicheza na beki wa kati mmoja tu Casimiro alijitahidi kuziba pengo ila nilikuwa nomwona anamapungufu mengi tu.Msimu umeanza kwa changamoto tujipange kuondoa makosa bado mapema
haya maneno ya kiwenga wenga mbona ngoja nifuatilie usijekuwa pia ni mfuasi wa arsenalTuwe wavumilivu shida ya wa Tanzania tunataka timu ishinde tu kila siku kumbukeni hili ni soka na matokeo ya jana ni moja ya matokeo yanayoweza kupatikana kwenye soka nayo tuyapokee.
Tunatakiwa kuipa ushirikiano timu kwa kila hali bila kujali aina ya matokeo tuache lawama kwa wachezaji kukosa hilo lipo tu.
Ndiyo maana ukimuuliza mshabiki wa mpira hata baadhi ya makocha timu yenu leo inashinda ngapi?
Atakwambia tunauwa leo nyingi tu hata 7.
Hiyo ni kukosa heshima kwa mpinzani wako maana naye kaja kajiandaa. Tunatakiwa kuiheshimu kila timu inayokuja mbele haijarishi ndogo kiasi gani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mou anewahi kusema kama hutakuwa na timu inapopoteza usiwe nao hata wakiwa wanashangilia ushindi, tuwe na timu kwa hila hali.haya maneno ya kiwenga wenga mbona ngoja nifuatilie usijekuwa pia ni mfuasi wa arsenal
Kwa striker tumemsajili kijana mmoja wa kibrazil anaitwa Viniscus junior ni mtupiaji mzuri sana ila bado anachezea timu hiyo mpaka atakapotimiza miaka 18 ndo ataweza kuja rasmi bernabeu,nadhani hapo benzema atapata upinzani kwa huyu kijana. # Hala Madrid
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila 2018 mbali mkuu,kama angepatikana hapa ndani ya hii siku iliyobaki striker ingekuwa poa sana,ila tusubiri lolote linaweza kutokea kabla ya dirisha la usajili kufungwa.Mkuu unamaanisha tumsubiri dogo mpaka 2018 ndio aje amweke Benzema benchi.. Ishu ya Benzema inahitaji suluhisho la haraka zaidi..
Ila 2018 mbali mkuu,kama angepatikana hapa ndani ya hii siku iliyobaki striker ingekuwa poa sana,ila tusubiri lolote linaweza kutokea kabla ya dirisha la usajili kufungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Real wamefunga uasajili kipindi hiki mtasubiri sana.Kweli, tusubirie tuone kama atasajiliwa striker mwingine.
Hakuwa na mapungufu yoyote, kapiga Moira mwingi sana ila alikuwa peke yake mabeki wengine walipaswa kumsadia.Pia kumbukeni tulicheza na beki wa kati mmoja tu Casimiro alijitahidi kuziba pengo ila nilikuwa nomwona anamapungufu mengi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye ndiyo alikuwa anajitenga wenzake wakisoge juu yeye anarudi chini. Hivyo unawaweka maadui kwako.Hakuwa na mapungufu yoyote, kapiga Moira mwingi sana ila alikuwa peke yake mabeki wengine walipaswa kumsadia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna mtu bado anakaa njiani kwa Madrid huyo chizi mwache tu afe respect kwa huyu mshindani anayekubali kushindwaRummenigge: Real Madrid are ahead of everyone elseBayern Munich's Karl-Heinz Rummenigge believes that Real Madrid are a level above the rest of the competition.
Real have won three of the last four Champions Leagues and last season became the first team to defend the trophy. They will be favourites again in this year's competition.
"I would say that Real Madrid are the brightest star in the sky," Rummenigge said to Sport Bild.
"There is a consensus that Real are above all the rest.
"Barcelona, Bayern and Manchester United are some way behind."
Rummenigge also acknowledged that while the transfer market remained in its current state, it would not be easy for the Bavarians to return to the top of the European game.
"There are ten teams in Europe that are pursuing the same goal," he said.
"But in this irrational world that football has become it will not be easy."
Rudia kutazama, alikuwa anarudi kusawazisha makosa ya wenzake. Na ni sababu ilipelekea ku-intercept chances za maadui kwa wingi zaid.Yeye ndiyo alikuwa anajitenga wenzake wakisoge juu yeye anarudi chini. Hivyo unawaweka maadui kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app