Thanks bro kwa info, haya maneno yako yamenishawishi nitafute marudio ya hii game ili nishuhudie vijana walivyo upiga mpira mwingi. Kama Zidane ataendelea kuwa Coach wetu basi tuta dominate kwa muda sana., muhimu ni hawa vijana waendelee kupata experience as time goes ili tuwe na ile continuity.
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG].