Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,373
Kovacic ni Msala man, anauwezo mkumbwa sana, yaani nikiangalia viungo wetu mpaka niaogopa, Hapo kuna akina Valverde, Oscar Martin, Martin Odegaad wanagonga mlango na wao wanataka nafasi, haya mafanikio ndio kwanza yanaanza, na Bado tuna safari ndefu tuu.Hakika huyu kijana ni hazina kubwa pale dimba la kati analitendea haki ipasavyo,sioni timu ya kutusumbua msimu huu,na makombe karibia yote tutabeba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile kanzu ilikuwa ya aina yake, nilicheka sana kwa kweli, yule jamaa kila akiona marudio ya alichofanyiwa atakuwa anaumia sana, ukizingatia yeye ni mrefu kuliko Modric!!Ila kile kitendo alichomfanyia Luka Gomez si cha kiungwana ameturn 360° utadhani yupo mazoezini. Luka hafai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile kanzu ilikuwa ya aina yake, nilicheka sana kwa kweli, yule jamaa kila akiona marudio ya alichofanyiwa atakuwa anaumia sana, ukizingatia yeye ni mrefu kuliko Modric!!
Wahenga walisema Muosha huoshwa, Kuna kipnd Pep Gurdiola alimfanyia hivyo Cristiano wao wakaona ni poa tu, sasa Ramos amkumbushia kijana hiyo mambo, yeye ametukana.Kijeba alikuwa anatukana matusi
Duh! hii ya benzema inaitwa fuata uchomoke mbavuHere are the highlights of Madrid's 2nd leg in the Super Copa final against the Catalans last night for any madridistas that missed the goals!!!
Luca alistahili kadi ya njano kile kitendo kingeweza kuibua hasira na kusababisha uvunjifu wa amani mchezoniHii hapa...
Naona kipa wa Barca jana aliogopa kufata lile shuti la asensio akikumbuka yaliyomkuta game ya kwanza akaona liwalo na liwe bora asijevunjika kwapa bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani anastaajabu jinsi kijana anavyowatungua panyalona.Yani Mateo anashangaa tu haamini kijana huyu kufanya vitu vikubwa namna hiyo. 30yrd anamtungua kipa. Kashika na kichwa utadhani kafungisha vile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishampuuza sana Edo ndo maana simfuatilii sasa hivi kwa uchambuzi wake ambao ni kuona mazuri ya Barca na Messi ila vice verser hakubali.