Hata iliyopita alicheza deep ndio maana alimficha messi, kwa line up ya leo naona zizou anataka kutawala mid.Kovacic anaupiga mwingi sana kwa kweli, anaweza akatembea na kijiji. Uwezo wake umempa nafasi nyingine tena Leo, japokuwa Leo anacheza chini kidogo na ilivyokuwa game iliyopita.
Kwenye mid tupo gud sana kwa sasa,yaani ukitoa chuma unaweka chuma,Hata iliyopita alicheza deep ndio maana alimficha messi, kwa line up ya leo naona zizou anataka kutawala mid.
Hata kwny beki mkuu sina shaka no 9 tu ndo huwa siielewKwenye mid tupo gud sana kwa sasa,yaani ukitoa chuma unaweka chuma,
Asensio ni moto aseeh
Hawezi kuondoka labda tuamue tu wenyewe kumuuzaHuyu dogo ni hatari sana, na nasikia ameomba auzwe arsenal ili awe anapata muda mwingi wa kucheza
Ukimaindi natuma tena.
Daah sidhani kama Zidane atakubaliHuyu dogo ni hatari sana, na nasikia ameomba auzwe arsenal ili awe anapata muda mwingi wa kucheza
Ukimaindi natuma tena.