Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Yani Jana Juve walishikishwa adabu so kitoto maana wamerubusu goli nyingi(4) kwenye mechi moja kuliko goli(3) walizoruhusu kwenye mechi zao 12 za nyuma!
Hesabu ndo imewagharimu, yaani game 12 goli 3 maana yake ni wastani wa goli 1 kila baada ya game 4. Kwa hiyo kibao kiligeuzwa goli 4 kwa game 1 na wao wakapewa goli 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…