Mkuu ujaona gazeti lao la leo? Nimelipost huko nyuma, wameandika kwa herufi kubwa za rangi rangi, "Forza Juve", akili zao ni za kushikiwa, hawa ndio watasababisha leo tuchukue Ubingwa.
Huyo jamaa anashikilia rekodi ya kuchukua huo ubingwa na vilabu tofautitofauti,alichukua na Ajax,alichukua na Madrid,alichukua na AC Milan!Alichukua pia na Arsenal!Sentensi ya mwisho ni utani.
Chiellini na Bonucci kawaulize wakina Neymar wanaocheza individual game. Wamecheza nao hawa dakika 180 with no shot on target. We have a squad with tactics that's why we score in every match