Navas ndio ametuweka mchezoni mpaka sasa hivi!! sijaelewa kati ya Kroos na Kovacic ni nani amechukua mikoba ya Casemiro sababu kama beki yetu haisomeki Leo
Wajamaa wanaonekana walikuwa wametupania sana, sema tumewazidi ujanja. Zidane itabid aongee na vijana wake, ukabaji Leo umekuwa wa mashaka sana kwa kweli!!