Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

ila hii gemu naona kabisa kuna mtu anakula red card kutoka team yeyote hasa tukiongeza goli la pili atletico wataanza kupiga buti maana watakuwa hawana cha kupoteza
 
Afadhali tumerudi kwnye game, itabid wajiulize wao sasa, tukirudi tunatafuta goli la pili tuwaongezee maumivu zaidi!! Wajipange tu!!
 
HT😀akika 20 za kwanza hatujacheza vzr kabisa...mara ya mwisho kucheza hovyo namna hii ni msimu ule tunafungwa 5 na barca.....nikiri kuwa beki zilipoteana kabisa pamoja na kipa....kiungo ikawa inapoteza sna mipira...hata hili goli nila kulazimisha zaidi kuliko mipango....hawa jamaa wakirudi kipindi cha pili watakuja kwa kas maana hawana chakupoteza....nahofia red kwa ramos au casmiro najua watapagawishwa sana ili wacheze rafu....ukiangalia hili game vzr isco ndio muamuzi wa hii match kwa upande wetu maana ndio anaendesha timu anavyotaka....inatakiwa awe na maamuzi ya uhakika na busara...aache kutoa pasi ambazo hazina macho...counter attack mbili hawa wanalia tena leo mapema....
 


Atleti waliingia na surprise perfomance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…