Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #28,661
Aisee, James ninaona Leo anataka kupiga hat trick kabisa, ngoja tuone mambo yatakuwaje.11' Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal James
Wenzetu wapo tofauti sana Mkuu, hata wakicheza na team nyingine Bado utawaona wakishangilia, tofauti na bongo.Nafikiri hawa mashabiki wa Granada wamekuja kwa wingi kuwaona Madrid. Utepetevu wa timu yao hauvumiliki.