Eeh man, tuna game Leo aisee dhidi ya Deportivo, hata hujachelewa sana kijana, ndio kwanza dakika ya 30.
Vijana wametakata kweli kweli. Wanajituma na wanacheza kwa ushirikiano sana!!
Danilo katoa bonge la pass ya kisigino!! noma sana man
Meanwhile, Morata anakosa goli yeye na golikipa tuu!!