Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #28,221
Kweli Madrid wanacheza same level, offside goals game after gameHii mechi waliokaza ni Barcelona, Real Madrid wanacheza same level kila siku tangu msimu umeanza ndio maana wamepoteza game 3 tu. Na game walizopoteza au kudroo si kwasababu walicheza chini ya kiwango, ni concentration tu. Walikuwa one man down still wamechomoa goli na walikuwa wanashambulia, kama hukuangalia mpira vizuri goli la. Messi limetokana na counter attack ambayo hata Getafe wanaweza kukufunga. Ngoja niache tu...