daah!! yaan leo hata mambo yangu sja fanya kwa raha, lakin ndio bas vile mkuu. timu ndogo ztakuwa zshazoeaga kaina at least, hata demand haiwag kubwa ki hivoMkuu kufungwa inauma asikuambia mtu, loo, sijui hawa wenzetu team zao zinavyo fungwa mara kwa mara sijui huwa wanakuaga katika hali gani!! Hapa ninadhan maumivu yataisha tukimaliza game ya Deportivo.
pole sana man. kumbe bora ya Lucho na Gomes kuliko Zidane na Benzema. Morata kacheza dk chache ila anagoli 12. nafikiri kwenye uiano wa goli kwa dk atakuwa anaongoza kwenye Laa Liga.daah!! yaan leo hata mambo yangu sja fanya kwa raha, lakin ndio bas vile mkuu. timu ndogo ztakuwa zshazoeaga kaina at least, hata demand haiwag kubwa ki hivo
if we dont take la liga ( i hope we will take t) yesterday will be the day la liga got away
ahasante bosspole sana man. kumbe bora ya Lucho na Gomes kuliko Zidane na Benzema. Morata kacheza dk chache ila anagoli 12. nafikiri kwenye uiano wa goli kwa dk atakuwa anaongoza kwenye Laa Liga.
Kuanzia leo ntakuwa nakuheshime, umeona mbali sana mkuu, na fixture ya madrid si mchezo mbele yake.daah!! yaan leo hata mambo yangu sja fanya kwa raha, lakin ndio bas vile mkuu. timu ndogo ztakuwa zshazoeaga kaina at least, hata demand haiwag kubwa ki hivo
if we dont take la liga ( i hope we will take t) yesterday will be the day la liga got away
hahaa! imebidi nicheke japo najitonesha maumivu ya jana, sku hizo jiran ulikuwa huniheshim!? mi huwa nakuheshim sana jirani!! sema ushabiki ndio labda unakuwaga mwingi kiaina.Kuanzia leo ntakuwa nakuheshime, umeona mbali sana mkuu, na fixture ya madrid si mchezo mbele yake.
Ishu ya Benzema mtamlaumu bure Zidane yule kijana ni kipenzi cha Perez, hajaanza leo kuboronga kuna kipindi alishuka kiwango sana lakini Perez akagoma kumuuza pamoja na kelele kibao....na usije shangaa anaongezewa mkataba tena mpaka anazeekea pale.....ahasante boss
sijajua kwa nn zidane anamkubali jamaa he is totaly off this year.
lets see kama ata endelea kumpanga, we must find other way siyo BBC tena
Hivi kipolo ni game na nani vile?Maana tumepungukuwa michezo
daah!! yan bos acha tu, ubaya ni hatujui really whats going on in the clubIshu ya Benzema mtamlaumu bure Zidane yule kijana ni kipenzi cha Perez, hajaanza leo kuboronga kuna kipindi alishuka kiwango sana lakini Perez akagoma kumuuza pamoja na kelele kibao....na usije shangaa anaongezewa mkataba tena mpaka anazeekea pale.....
Ningeshauri tu awe anapumzishwa game zikimkataa kama juzi
All in all natambua mchango wake katika timu
Kuna mechi mbili hapo mnapotezaReal Madrid's Upcoming Matches
Kuna mechi mbili hapo mnapoteza