Vijana wetu wametuvurugia usiku wetu acha kabisa, ila Zidane amezingua kuanzia kwnye selection yake, kutoka kwa Bale mwanzoni kumetuharibia plan zetu!! Kilichobaki hapa ni kupigana kweli kweli game zilizobaki.
Ni kweli lack of concentration, hata Ronaldo pale mpira ulipotoka angeanza kukaba badala ya kujifanya ye ndio kocha. Walikuwa wanaangalia jinsi ya kufunga goli jingine wakajisahau. Few seconds zinaweza kuharibu all the season. Nashangaa kwanini tunaruhusu magoli mengi hivi kila mechi?