Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

HT:kama kawaida tabia yetu yakuridhika tunapotangulia ndio imetuponza...hapa katikati tumepwaya...huyu ansensio ameingia ila hakuna tofaut na bale alivyokuwepo...kroos naona kashindwa kuhold mipira .....inapelekea sasa casmiro kuzunguka sana...madhambi yote ambayo casmiro amefanya ukiangalia utaona kabisa kuna gap kubwa sana....
 
Zidane itabid amtoe Casemiro tu kwa kweli, hakuna jinsi, sioni akicheza dk nyingine 45 bila card, Hapo refa kamchukulia poa tu, ila kama akifanya tena faulo nyingine refa atulie.
Refa kamfavor kama ilivyokuwa katikati ya wiki hii. Kiufupi huyo casemiro amemaliza first half kimakosa.
 
Zidane itabid amtoe Casemiro tu kwa kweli, hakuna jinsi, sioni akicheza dk nyingine 45 bila card, Hapo refa kamchukulia poa tu, ila kama akifanya tena faulo nyingine refa atulie.
ancelloti sku ile alifanya kosa kumwacha Vidal alijutia, nadhan leo Zidane ajifunze, amtoe dogo hakuna namna
 
Casemiro hana tofauti na Bashite.

Casemiro anacheza rafu kadri anavyotaka akijua ana kinga ya refa.

Wazee wa mbeleko mmeliona goli la Messi lakini?
 
Messi yuko individual sana, tulitakiwa kukaba tuanzie mbele game yetu hii, lakini Cristiano ana preassure ya Bao, Bale pancha Benzema wenyewe sijui inakuwaje mpaka anakuwa kwenye first eleven kila siku, lazima watu kama Casemiro wapewe card.
 
Messi hapelekewi mipira,barca inahitaji reforms nyuma na katikati pamepwaya
 
Umeona alichowafanya lakini? Na huyo casemiro hilo jukumu mlilompa linaenda kuicost timu hii second half.

Messi hafanyiwagi marking na mtu mmoja kishamba vile.
Naona mapovu yenu yoote unakuja kuyamwagia huku

Karibu katika sec half
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…