this is important matchNoma sana Mkuu, joto lipo juu sana kwa kweli, kila mmoja ana ari ya ushindi, hope tutakuwa na usiku mzuri!! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!!
Ni hvyo tu nimapema mno ila ile ni ya wazi kabisaPhilipo Inzaghi naona ana demand penalty
The world is real dudethis is important match
nahisi kama droo hivi gem ya leo
though i hope we win
Hii caption nimeielewa vibaya hadi video nimeichukuaThe World is... Real !
Umetisha Mkuu,Philipo Inzaghi naona ana demand penalty
Ahahaha..,... Ndio hivyo mchezaji wetu bora siku hizi amekuwa mfungaji tu na asipofunga ni kama hayumo uwanjani na hii tabia aliyekuwa nayo ni Inzaghi babaa.Umetisha Mkuu,
Umenikumbusha mbali... Liverpool 2007 UEFA final bado wanamukumbuka Philipo.
CR7 Sasa tayari ashaanza kufaata nyayo zake.
Si bora yake je huyo messi hata assist hanaAhahaha..,... Ndio hivyo mchezaji wetu bora siku hizi amekuwa mfungaji tu na asipofunga ni kama hayumo uwanjani na hii tabia aliyekuwa nayo ni Inzaghi babaa.
utachoka bure kubishana na hawa watu sisi siku hizi tunawaangalia tuu wanaongea na kujibizana wao kwa wao na sisi tunaendelea na mijadala yetuSi bora yake je huyo messi hata assist hana