Tunataka magoli kwanza, hizi ni point 3 muhimu. Wameweka deffenders 5 kwenye box, waliobaki 5 wote wako kama midfielders, I don't like this kind of games, wakitufunga goli jingine wanaweza kutuletea matatizo hawa.

Ni kweli Mkuu, ila jinsi ya vijana wetu wanavyocheza ninaona kuna goli kabisa. Tatizo limekuwa kwa Vasquez tu bado anachelewa kuingia kwnye box la adui, ninadhan Zidane atawapanga poa kipnd hiki cha pili.
Mambo yanabadilika ndani ya sekunde kadhaa!!
Ila hawa marefa na wao ni shida sana, yaani jamaa wametunyima kona, sasa sijaelewa kuwa wameona Nacho ndio ameutoa ama?