PATA UCHAMBUZI WA GAME MBALIMBALI ZA ENGLAND,FRANCE,SPAIN,GERMAN, NETHERLAND, SCOTLAND,ITARY,TURKEY, URUGUAY,OMAN,IRAN,UNITED ARAB EMIRATES, SAUDI ARABIA, SOUTH AFRICA, PERU, COLOMBIA, AUSTRALIA, NA NYINGIZO NYINGI KUPITIA BONGOTIPS.COM UPATE UELEKEO WA UHAKIKA KATIKA UBASHIRI WAKO WA MKEKA LEO
Kikosi kipo poa tu, ila ishu ipo kwa Nacho!! anatakiwa kuwa makini sana, laa sivyo anaweza kukosa El Classico kama atapata kadi ya njano, ninaamin atacheza kwa heshima kama alivyofanya dhidi ya Bayern

Atacheza baadae ataenda bench, filosofia ya Zidane anasema yeye anaangalia one game at a time. Ikitokea akiwa suspended, itakuwa mechi nyingine na ataangalia iwe vipi. Sema nataka kuangalia hii trio ya Lucas, Alvaro na Marco.