Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Bayern 1-2 Real Madrid! We have got 2 crucial away goals!!!!
 
Bayern watakapoiangalia tena hii mechi watajua ni uzembe wa beki kutokuwa makini kwa magoli yote mawili na goli la pili pia kipa wao Neuer alichemsha
 
Hala madrid....kaz tumeianza hapa tayar tunaenda malizia kwetu


Tall, tumekosa magoli kama 8 hivi. Huyu Benzema angeenda bench before akaingia Morata maana ana uchu wa magoli naona angepiga hata mbili.
 
Vidal angeliifunga ile peneti tena muda mfupi kabla ya halftime kisaikolojia Bayern wangelikuwa dunia nyingine kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…