Kabisa Mkuu, yaani muda wote unakuwa na wasi wasi kuwa tunafungwa, cha ajabu game na Atletico ama Bayern wanaweza kukaza kinoma, sijui hawa watu wadharau game au ni nin!!
Niatamani Kiko akae tena golini game inayofuata tutoke tena na clean sheet.
Sawa sawa Mkuu!! Karibu sana, ni kweli ila unapocheza na Real Madrid hutakiwa kufanya makosa kama ukipata nafasi ya kutufunga, sababu sie dk kadhaa tu tunakubadilikia. Ishu ya performance sio ishu sana kwetu japokuwa haitupendezi. Mwisho wa siku point 3 ndio muhimu.
Majukum tu ya kujenga Taifa Mkuu ndio yalisababisha wengine tusitokeze huku jana!! Shukran sana Mkuu kwa kuendelea kufuatilia game zetu!! Karibu tena Jumamosi.