Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Kijana amerekebisha makosa, alinishangaza sana alipokosa ile nafasi ya kwanzaGoooooal...morataaa
Ile siyo penalt jaman ile??
Hata ka goli ka moja hakatoshi kabisa, zinahitajika jitihada za ziada kuongeza goli la pili, sababu hawa watu Leo siwaelewi