Wakuu niko hapa nasoma REKODI yetu kama inavyojieleza, lakini naona kuna BONANZA moja tulicheza na PSG tukapoteza au mechi za mabonanza huwa hazihesabiwi? Ufafanuzi plaease.....
Wakuu niko hapa nasoma REKODI yetu kama inavyojieleza, lakini naona kuna BONANZA moja tulicheza na PSG tukapoteza au mechi za mabonanza huwa hazihesabiwi? Ufafanuzi plaease..... View attachment 459358View attachment 459360