Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #23,541
HALF TIME: Real Madrid 3-1 Leonesa (Mariano 1', 42', James Drodriguez 23'; Yeray González 45'). [HASHTAG]#RMCopa[/HASHTAG] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Hahaha, Casemiro katika ubora wake !! vp anaweza kufanya poa kwnye El Clasisco ?Half an hour for Casemiro's come back and got booked already.
Mnyama Marianoooo!! huyo dogo hua harembi, yeye anajua kufunga tu, hataki kitu kingine. Atawasumbua sana magolikipa huko mbeleni!!Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal Mariano. What a finish!
Huyu dogo ana vitu fulani hiv hadimu sana, hua ninafuatilia game za Castilla ili nimchek tu,Odegaard was very good in the first half!! *_*
Hahaha, Jamaa anumwa akili kweli!! Wenzetu kwa kupenda umaarufu hawajambo!!One idiot jumped on the pitch and did Ronaldo celebration. Now he has been arrested
Mariano Mariano Mariano !! Kijana amepewa nafasi, akalipa fadhila, safi sana.Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal Hattrick Mariano