Nimeona sehemu mbali mbali kwamba ZZ kaamua kuto-mrisk Ramos may be sababu ya classico coz kwa matokeo yyte ya leo madrid still will be on top of the tableDuu, Nacho hawezagi game za kibabe!! analetega upole wake mpaka kwenye kazi.
AaahNimeona sehemu mbali mbali kwamba ZZ kaamua kuto-mrisk Ramos may be sababu ya classico coz kwa matokeo yyte ya leo madrid still will be on top of the table
Hiyo inawezekana. kama bado hayupo 100% hamna sababu ya kumchezesha, ila game tuliolala pale Calderon centre back walikua ni Varane na Nacho, na Siku Hiyo walipoteana vibaya, sijui Leo itakuwaje!!Nimeona sehemu mbali mbali kwamba ZZ kaamua kuto-mrisk Ramos may be sababu ya classico coz kwa matokeo yyte ya leo madrid still will be on top of the table
Wajamaa wametusaidia sana, hope vjana wetu hawatacheza kwa presha, Hiyo baadae .Aaah
Nimetoka kuchek gem ya Barca kwa kweli imenifurahisha
Still on top
HahahaWajamaa wametusaidia sana, hope vjana wetu hawatacheza kwa presha, Hiyo baadae .
Ile game nime bahatisha dakika 15 za mwisho, marefa wa la liga nao wa ajabu ajabu tu, inakuaje mnaongeza dakika 4 but game inaenda hadi dk ya 98Aaah
Nimetoka kuchek gem ya Barca kwa kweli imenifurahisha
Still on top
Kroos, casemiro, ramos & Morata wote hawapo, mmmh ngoja tuone mkuuHiyo inawezekana. kama bado hayupo 100% hamna sababu ya kumchezesha, ila game tuliolala pale Calderon centre back walikua ni Varane na Nacho, na Siku Hiyo walipoteana vibaya, sijui Leo itakuwaje!!
Hahaha, Mkuu marefa wa la liga wanakuwaga na vinyongo mda mwingine, mwenyew nilishangaa game kwenda mpaka mda ule, wakati wameongeza dk 4 tuIle game nime bahatisha dakika 15 za mwisho, marefa wa la liga nao wa ajabu ajabu tu, inakuaje mnaongeza dakika 4 but game inaenda hadi dk ya 98. Hapo hapo na kadi nyekundu mbili
Ile game nime bahatisha dakika 15 za mwisho, marefa wa la liga nao wa ajabu ajabu tu, inakuaje mnaongeza dakika 4 but game inaenda hadi dk ya 98. Hapo hapo na kadi nyekundu mbili
Hahaha, Mkuu marefa wa la liga wanakuwaga na vinyongo mda mwingine, mwenyew nilishangaa game kwenda mpaka mda ule, wakati wameongeza dk 4 tu
HahahIle game nime bahatisha dakika 15 za mwisho, marefa wa la liga nao wa ajabu ajabu tu, inakuaje mnaongeza dakika 4 but game inaenda hadi dk ya 98. Hapo hapo na kadi nyekundu mbili