Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Ramos aanze tu hiyo kesho, nikikumbuka comb ya Nacho na Varane walivyopoteana msimu uliopita, hapana aisee, zile 4 za msimu uliopita hazitakiwi kujirudia tena kwa kweli!! Kipnd kile nilichoka mno!!Ramos and Benzema are both not 100% fit. [RMP]
Naona Sevilla anarudia hali yake halisi aliyoizoea.
Kipindi cha kwanza Sevilla alikuwa vibaya kiufundi na hivyo kuongozwa 2-1 ambapo kipindi cha pili walirekebisha na kukam-back. Game ilikuwa nzuri.Naona matokeo Deportivo 2 Sevilla 3, lakini mechi sikuiona. Game ilikuwaje?
Kiukweli sina iman ya ushindi leo hasa kukosekana kwa Casemiro,Morata na Kroos.Real Madrid have not won in their last 6 visits to Calderón (D3 L3); they have never gone 7 games in a row without a win there (all comp).