Danilo katoa boko la maana, mi nafikiri zile pasi za haraka bado zinamsumbua. Danilo ilibidi acheze kwasababu Carvajal alikiwa suspended.
Kwa ujumla pale Madrid hakuna hata mmoja anayecheza kama total defender, timu ikipata mpira utawakuta wote wako karibu na opponent box wanasubiri pasi. Ni kitu kizuri kwenye attacking, lakini wakipoteza mipira inakuwa hatari ndio maana yakija mashambulizi yanawakuta hawajajipanga. Dawa ya hii kitu defence ianzie mbele, timu inatakiwa ku win the ball back haraka Sana. Na Zizou analijua hilo, ndio maana tunamuona James anasugua Bench kwasababu mjomba anashambulia tu wakati swala la defence ni la timu nzima. Nilimuona Ronaldo kwenye form maana mpaka alikuwa anashuka kudefend sometimes. Na hii ndio tofauti ya Benzema na Morata pia. Benzema aonekani mara nyingi kwasababu anasubiri mipira acheze na Ronaldo na Bale tu wakati Morata anacheza uwanja wote.