Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #22,561
Tuna wachezaji wazur sana hasa pale wanapoaminiwa,striking force ya Leo imeonesha nn,BBC wanakikosa kiukweli morata na asensio ni azina kubwa sana pale Madrid,zamu ya zizou kuwaweka benchi hao mapro na kuwapa nafasi hawa vijana,kazi kubwa sana ila Mara nyngne no cleansheet defence bdo ina make mistakes, hope tutaimprove kadri game zinavyoongezeka.
Hapo Mkuu ndio nafasi na pengo la Casemiro linapo-onekana, jamaa alikuwa anasaidia kucover makosa kama hayo kwenye defence yetu, inatubid tuwe wavumilivu mpaka arudi, sababu makosa ni yale yale kila kukicha. Bahati mbaya Kovacic na Kroos sio wakuwategemea sana katika eneo hilo sababu kwanza hawafikirii kihivyo kukaba, kwahiyo hilo jukum linadondoka moja kwa moja kwa mabeki wetu.Halafu tatizo ni lilelile la kila siku, MARKING. Cross imepigwa ndani ya box imemkuta forward wa Leonesa peke yake, anatuliza anaweka sawa mpira kutafuta mguu wake hakuna hata beki mmoja wa kumghasi. Kama pale hata uweke makipa wawili mpira lazima uende kambani.
Mimi ninaamin tuna kikosi kizur sana kwasasa, shida nj Zidane anashindwa kuchanga vema karata zake, vijana wanajituma sana wakipewa nafasi!! na hao BBC wajiaandae kabisa iwapo watacheza Santiago alaf waburunde, kelele pale Bernabeu zinawahusu sana, wanachofanya hawa madogo ni kuchochoa tu moto!!Umemsahau Lucas Vazquez. Yaani kama vipi Zizou ajaribu hii trio hata kwenye la liga. Hawa mabwana wadogo wametulia sana.
At least there are Madridistas with Sense.The International Federation of Peñas Madridistas have started a hashtag to show their support to Cristiano. #apoyo_total_CR7