Kikosi kizuri kwenye mechi kama hii, lakini hii combo ya Isco na James kwenye mechi kweli ni lawama. Hii ilikuwa fantasy ya Ancelotti lakini ilifeli. Kroos mwenyewe kasema anaweza kucheza season yote.