Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #22,341
Jamaa kama kawaida anataka kuingia sokoni mwenyew, vizur pia sababu anapunguza gharama, ila ni muhimu kushauriana na bench la ufundi kabla ya kusajili!Florentino confirms he won't appoint a Sporting Director, when (if) he's re-elected as Club President again. [AS]
Hawa jamaa wananifurahisha sana, Yaani walianza amsha amsha kuanzia ile siku ya draw, sijui ndio kutupania ama ni fursa ya kuongeza kipato, sababu hiyo furaha yao sio ya kawaida!!Hundreds of fans immediately lined up as Leonesa began to sell tickets for their Copa del Rey match against Real Madrid. [MARCA]
Ninaona Perez anataka kumalizana na vijana wake mapema, ni vizur pia kuliko kuja kuleteana maneno kama kile kipnd cha Ramos, kama ikiwezekana na Isco ashikishwe pen fasta, sababu na huyu anaweza kuja kutuletea maneno hapo baadae!!
Hawa jamaa wananifurahisha sana, Yaani walianza amsha amsha kuanzia ile siku ya draw, sijui ndio kutupania ama ni fursa ya kuongeza kipato, sababu hiyo furaha yao sio ya kawaida!!
Wapi inakwenda kupigwa sasa?New UEFA President Aleksander Ceferin open to Champions League final being played outside Europe
Wapi inakwenda kupigwa sasa?