HT:eneo la kati tumecheza vzr sana..beki ya kulia kwa danilo ni jipu sijui mbrazil wa wap yule,mbele kule yule fala benzema anarukaruka tu haelew anafanya nini....huyu benchi inatakiwa aanzie benchi huyu kabisa.....kwa mtazamo wangu maeneo hayo mawili ndio majipu makuu leo yanayoharibu ladha yetu leo
Hawa wajamaa wanafanya hii game ipendeze, Ni wabishi kinoma, wao wanaamin kuwa wanaweza kuwafunga Real Madrid, linidhani itapooza ila imekuwa tofauti!! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]