Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,376
Walisahau kwamba alitokea hapo kwenda Arsenal? au wanajisahaulisha tu, kwanza atapiga mlango upi baada ya yale majibizano na camp yake dhidi ya Perez? Tuna vijana wengi sana upande wa midfield na foward wanaochipukia hatujui hata watacheza wapi, ghafla tukamkurupue mtu tuliyemwacha wenyew kisa nin?Germany media are talking bulshit. How old is Özil? Wanafikiri Bernabéu ni retirement center. Kwanza akija atacheza wapi?
Kiko asubirie Kombe la Mfalme lianze, huku hatutaki utani kabisa, ili tushinde la liga kila idara inatakiwa iwe vizur!!Zidane is happy with Kiko but will start Keylor to give more confidence.
Coentrao will aslo get few minutes against Eibar, BBC will start again. [COPE]
Kiko asubirie Kombe la Mfalme lianze, huku hatutaki utani kabisa, ili tushinde la liga kila idara inatakiwa iwe vizur!!
Angecheza tu ili apewe kadi nyingine ya njano tumalizane nae kabsa, sababu bado kadi moja tu ya njano apigwe ban!!After playing nine consecutive games, Sergio Ramos will get rest at this weekend against Eibar. [MARCA]
Angecheza tu ili apewe kadi nyingine ya njano tumalizane nae kabsa, sababu bado kadi moja tu ya njano apigwe ban!!
Yule ni kichwa chake tu kinapataga moto mda mwingine, hasomeki!! Leo yupo vizur kesho anazingua basi ilimradi vurugu tu!!Kadi za Casemiro nazielewaga. lakini za huyu mjomba sijui ana kichaa!