Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

[HASHTAG]#ExpectedLineUp[/HASHTAG]: With Casemiro and Marcelo out, this is how Real Madrid could possibly line up tonight against Las Palmas.

James akicheza kama no 10 hua anafanya vizur sana, sababu katika nafasi hiyo anaweza akashoot au akatoa assist, Zidane aliona matunda yake alipomchezesha nafasi hiyo dhidi ya Espanyol!! Pia uwepo wa Morata uwanjan utamsaidia zaidi, sababu Morata hua anapenda kurudi kuchukua mipira kweny midfield!! Ingependeza sana kama formation itakuwa hivyo hiyo baadae!!
 
Kweli kabisa tuombee iwe hvyo maana majirani zetu kule wameshinda leo
 
Wakuu, kijana wetu Borja Mayoral kule Wolfsburg ni majeruhi ama? Sababu huwa ninajaribu kufuatilia game za Wolfsburg sijawahi kumwona hata bench!!
Afadhali mwezie Jesus valejo na Omar hua ninaowaona mara kwa mara kwenye kikosi cha Frankfurt!!
 
ngoja nidake siti ya nyuma niroge chinichini. Palmas ni wapambanaji najua hawataniangusha.
 
Reactions: PNC
Real Madrid' XI: Casilla, Carvajal, Varane, Ramos, Nacho; Kroos, Modric, Asensio; Bale, Morata & Cristiano.
 
Real Madrid have won 9 consecutive away matches in La Liga [the record is 12 consecutive away wins].
 
Hii timu ya manispaa siyo yakubeza hii....inatakiwa tupige kama hatujawah cheza nayo kabla yaan kama hatuijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…