Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

It looks like Karim Benzema is Real Madrid's only attacking player. Vazquez and Asensio are wingers but still they are coming back to midfield in order to receive the ball to create a play.
Hawa vijana ninadhan bado hawajajua kujiweka katika nafasi, atleast Vasquez alikuwa anajitahid kwenda na move, ila Asensio anajisahau sana, yaani unakuta Marcelo yupo mbele na mpira yeye yupo nyuma yake, akipewa mpira anarudisha nyuma!!
Hiyo nafasi aliyopewa ni ya kuitumia haswa, si kila wakati atapata nafasi ya kuanza .
 
At least tumapata ushindi muhimu sana tena ni away,squad depth ni kubwa sana naona Leo asensio na Vazquez wamejitahidi sana upande wa pembeni,inaonesha kuwa magoli msimu huu yanaweza kufungwa na mchezaji yoyote katika kikosi hiki coz mpaka sasa ni kuwa wachezaji 11 tofauti wamefunga katika mechi nne za mwanzo,big up sana kwa hilo, tuwasubiri Villarreal katikati ya wiki pale bernabeu.
 
Mino is trying so much to convince the world that Pogba chose United over us. Now I'm glad Perez didn't even bother. Dude is a low.


Mino is stupid. Everyone know the truth, Madrid, Barca & Man City pulled out of the race to sign him, he had no any other option but to rejoin Manchester United.
 
Mino is stupid. Everyone know the truth, Madrid, Barca & Man City pulled out of the race to sign him, he had no any other option but to rejoin Manchester United.
Hahaha, nilijikuta ninacheka nilivyosoma alicho ongea, yule jamaa ana matatizo sio bure, ati Pogba alichagua United over Madrid sababu alitaka challenge, anasema kulikua na offer kutoka premier league na sehemu nyingine, ila amekazana kutaja Madrid, kwanin asitaje hizo club nyingine zilizokuwa zinahitaji huduma ya mteja wake? nimemwona wa hovyo sana. Wivu tu unamsumbua, na sidhan kama atakuja kupata bahati ya kuuza mchezaji pale Madrid!!
 
James After The Match Against Espanyol:

-"I never wanted to leave. My dream is to be here and I will fight to stay here forever."

-"There are good feelings, happy because we won, We were a little behind but I think it is a fair victory."

-"I have everyone 's support, I have a good relationship with Zidane. We are a united team and we want to get wins and get records."

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…