Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Halafu pepe anazingua sana leo...mipira yote hakuna anayookoa 100% ...anaokoa halafu inakuwa na mushkeli bado....
 
Tumejitahid ila madogo wametupania,muhimu ni concentration na kuepuka injuries zisizo za lazima,tunaongoza first half tujipange second half kuongeza magoli na kujihakikishia point 3 muhimu,wameniboa sana kutuumizia casemiro hope injury yake cio kubwa ataweza kurud soon.
 


Game za kupaniana hizi tunaweza kuondoka na injury nyingi wakati game ya Borussia Dortmund inatusubiri. Casemiro kaenda kukaa bench kwahiyo sijui ni kama serious sana, otherwise angeenda moja kwa moja kwenye tunel. Kipindi cha pili sijui itakuwaje, wasiwasi wangu Ramos kama atamaliza game maana ana yellow tayari.
 
Huyu kiko ***** haongei na beki kudadeq....anashindwa kupanga beki...hadi pepe anammind kuwa aongee.....
Hahaha, Pepe alipata moto kweli kweli, hata yeye na Ramos hawakuwa vizur dk za mwanzo, mwishoni ndio nimeona wameimarika!!
Nimshukuru tu Ramos kwa ule usanii alioufanya, angepewa kadi ya nyekundu angetugharimu kweli!!
 
Kweli umakin unahitajika game bdo mzigo,hope tutashinda.
 
Hawa jamaa wanacheza judo nini! Maana mpira hauko kama wanavyocheza.
Yatupasa ku-hold mpira sana ili kwa kuwa hatuna Casemiro .
Hawa watu wametupania, so wanajitahid kucheza kadri wanavyoweza!! Cha Muhimu ni wachezaji wetu kutulia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…