Yaani Pale nyuma wameweka watu kama saba au nane. Sisi tuna Casemiro mmoja wao wanao kama wanne hivi. Hawana haraka, wanashambulia wakipata nafasi tu. Wakitupiga counter attack game inaweza kuwa ngumu zaidi.
Kati ya Ronaldo au Benzema mmoja angetakiwa kuanzia bench, sababu wametoka kwny majeruhi so hawawezi kupigana vilivyo sababu bado wanahofu, wakitoka hao kipnd cha pili ndio tutaona mpira mzuri!!
Me kwa kwel mtanisamehe....huyu kiko siyo kipa aisee hapa tulikurupuka.....kuna makosa ya beki ambayo kipa unaweza zuia...huyu kwa kwel ni shuka tuko nalo