Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #21,181
Kazi ya Ukocha ni pasua kichwa kweli kweli, mchezaji kutokuwa. kwenye first XI inaweza kuwa sio ishu sana, ila hii ya kutokaa hata benchi ninaona ndio shida zaidi!! Hii kazi inahitaji weledi na busara kubwa sana!! Hope hawa vijana wetu wanaelewa Zizou anachofanya!! ¡HalaMadrid!!Asensio and Isco are out of Real Madrid's list to face Sporting Portugal.