Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,752
- Thread starter
-
- #21,101
Dah nakosa kuitazama mechi hakuna umeme
Nashukuru sana..ila umerudi sasa hivi ndo na-switch on tv hapa.Pole mkuu unakisa uhondo. Hii nutmeg ya Luka MODRIC inarudiwa kama mara saba hivi.
Hahahhahahhahahahaha....umefanya nicheke sana hapaHawa tuwapige 8 ili heshima irudi