Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #21,001
Sawa......itakavyokupendezaView attachment 394166 Mara ya mwisho Blancos kuchukua LA LIGA ni zito akiwa CHADEMA na MAGU akiwa wazir wa ujenz tena kabla Chato haina taa za barabarani
Casemiro mara ya pili hii naona anaongelea ishu ya James sijui kama huwa anaulizwa au ni maoni yake ila inambidi akae kimya, ts like he pity him...kitu ambacho hakileti image poa kwa ninavyoonaCasemiro: "James is a teammate who everyone admires. He’s a great player and he’s shown it at Madrid.”
Hao ukiwaendekeza watachafua hali ya hewa kwa matusi wasome waacheSawa......itakavyokupendeza
Casemiro mara ya pili hii naona anaongelea ishu ya James sijui kama huwa anaulizwa au ni maoni yake ila inambidi akae kimya, ts like he pity him...kitu ambacho hakileti image poa kwa ninavyoona