Lini na saa ngapi inachezwa hii game!?South America – 2018 World Cup Qualifier. Tite (Brazil coach) confirms XI vs Ecuador:
Alisson;
Alves, Miranda, Marquinhos, MARCELO;
Paulinho, CASEMIRO, Renato;
Willian, Jesus, Neymar.
Lini na saa ngapi inachezwa hii game!?
Thank more..Kick-off itakuwa saa 6 usiku kwa saa za nyumbani.
Bale chali.Most appearances for Real Madrid since 13/14:
- ISCO 151
- Cristiano 149
- Marcelo 136
- Benzema 135
- Ramos 129
Nilipita kule goal.com asubuhi, kama kawaida yao nimeona wameshaanza kupiga ramli, wanadai Real madrid wameflop kweny usajili msimu huu. Ninakumbuka wakati Zizou anapewa mikoba ya kuinoa Madrid waliandika mambo mengi sana, this time ninaona wameanza tena.Real Madrid have refused big offers for Isco, James, Casemiro, Mariano & Varane. [ABC]
Nilipita kule goal.com asubuhi, kama kawaida yao nimeona wameshaanza kupiga ramli, wanadai Real madrid wameflop kweny usajili msimu huu. Ninakumbuka wakati Zizou anapewa mikoba ya kuinoa Madrid waliandika mambo mengi sana, this time ninaona wameanza tena.