Ligi zote Ulaya zinasimama kwa mujibu wa ratiba ya FIFA kupisha international break. Timu za taifa zinacheza mechi za kirafiki, na hii ni mbaya sana kwasababu wachezaji muhimu mara nyingi wanarudi injured wakati tunawahitaji. Hii ndio yakuitwa FIFA Virus.