The best ever happened on planet!! Bila key players tumeonesha umwamba.
Asanteni sana wadau kwa update za mechi jukwaani hapa maana nasikita kushindwa kutazama hata online kwa kukosa mazingira rafiki huku nilipo Wilaya mpya.
Ila amin diego simeone ni mtu hatari zaid mzee mwenzangu, angalia michezo yake kwa jicho la tatu. Utagundua vtu vingi tofaut kwa sampaol na diego el cholo