Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #20,321
Nimeipenda hii, kijana ameamua kukomaa, ni vizur lakini. Anaonekana anapenda kufanya kazi chini ya Zidane, na kizuri zaidi ni kwamba hakutokuwa na yale maneno kwamba hana furaha ndani ya club sababu hapati nafasi ya kucheza mara kwa mara!!El Confidencial | Isco has accepted it'll be hard to start but wants to stay at Real Madrid knowing he can be alternative to Toni & Luka.
Club iangalie vizur team itayomfaa huyu dogo , na pia ikiwezekana mkataba wake uonyeshe idadi ya game atakazo anza, kama ule wa Asensio. Nisingependa kuona yale ya Lucas Silva yanajirudia tena kwa huyu dogo!!Hamburg and Bayer Leverkusen are vying for the signature Martin Ødegaard with West Ham also showing an interest. [Daily Mail]
Bale, ronaldo & benzema hawapo still james kaanzia benchi? Whats wrong with this man?This is our starting XI for tonight's UEFA Super Cup final against Sevilla FC. #RMSuperCup #HalaMadrid
Ninasubiri hii game kwa hamu kweli !!We are playing with our B team tonight, except for the defence.
Morata inabid ajifunze kuforce mambo, anachelewa sana kuingia kwny box wakati tunashambulia!!Huyu Morata Hana uchu wa mabao kabisa. Halafu Sevilla wanacheza kweli Real Madrid bado Wako kwenye preseason, kama sio kombe uwanjani