Real Madrid leo atamshinda Juventus

Leo naenda kuangalia jinsi Madrid anavyokufa mbele ya Juve. Waliwakuta wachovu wenzao PSG wakajipigia sasa wanakutana na Kibibi kizee kina hasira hicho. Wale wa kubeti leo mueni tu madrid mana achomoki
 
Mkuu kwa Bayern au Madrid katika hatua ya nusu fainali Barcelona anaweza kuwapiga hao. Ila Man City si anajua anajitengenezea historia kwa iyo lazima akomae kuwatoa vigongo hasa Barca. Na ndio maana nasema inaweza ikawa rahisi kwa Man City kuliko hao.
Kwa ufupi kombe litakwenda uengereza...
 
Allegri ndie atakaeipa ushindi real ikiwa atapanga kikosi kibovu.

Costa, Dybala, Coudrado ni lazima wote watatu kwa pamoja waanze wakiongozwa na Higuain mbele.
Na kati ya Barzagli au Lichtsteiner ndio wacheze beki ya kulia na sio De sciglio.

Matuidi na De Sciglio hawa watu wasikaribie uwanja kabisa. Ndie wachezaji mabom kabisa kenye timu.
 
Daaah, Chama Langu hilo
Buffon
De Sciglio , Barzagli, chielini, Sandro ,
Khedira, Marchisio or Bentancur , Matuid
Dyabala, Higuain, Costa

De Sciglio na Matuidi wakiwemo uwanjani utarajie kipigo tu. Ni wachezaji wabovu kabisa kwenye kikosi.
 
Benzema ndio useless person pekee... Wenger nashangaa hatumi maombi kabisa
 
Back
Top Bottom