Real Madrid come back vs Arsenal

Comeback, imeshindwa,

Arsenal Wamecheza kimakini sana,

Arsenal wametisha.
 
Madrid wange mpata Aucho, Nzengeli, halafu sub ya Vinicius anaingia Mpanzu. dah madrid ingekuwa bonge la team kwa kweli
 
Maneno maneno ya nini, si kesho tu... kwanini tuongee sana. Ni either utaona aibu kwa post yako hii au kufurahia. Ni hayo mawili tu yatatokea.

Nilikuambia nini jana BONNIE GOLD, how do you feel today? COYG.. na roof yenu mmefunga, tumewa gonga mule mule...
 
mkuu mbona timu ndio zimeingia nusu fainal ila ww unasema final kvp.. usisahau jana PSG vs Barca nao watacheza nusu final hawa jamaa wawili wamoto balaa ngoma bado mbichi hii kwani final itachezwa PSG/Barca Vs. Arsenal/Inter
Mechi mbili za mwisho za barca zimenipa wasiwasi,,,pia PSG wanafika kirahisi hawezi mtoa Arsenal
 
Mechi mbili za mwisho za barca zimenipa wasiwasi,,,pia PSG wanafika kirahisi hawezi mtoa Arsenal
tatizo lako unaleta hisia na ushabiki kwenye kazi..PSG sio everton au crystal palace au Bounermouth wanaomchapa arsenal hapo EPL oooh weka akiba ya maneno mpira hauchezwi mdomoni we mshabiki wa arsenal.!
 
Everton tulishindwa kumfunga, PSG tulimfunga.
 
Shangilia ila usiniguse
 
Attachments

  • images (123).jpeg
    28.3 KB · Views: 20
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…