BONNIE GOLD
JF-Expert Member
- Jan 27, 2021
- 485
- 960
MhiiiWameshinda lakini hawana furaha. Tafsiri ya kauli hii ipo mioyoni mwa mashabiki wa Arsenal.
Wakati tunajiandaa na come back kabambe dhidi ya Hawa watoto (Arsenal), nawatembeza chini ya barabara nyembamba ya kumbu kumbu, ili Hawa vijana wa Arsenal wajue ni dudu gani wanaenda kukutana nalo hapo Spain. Hizi hapa comebacks baadhi
1. Real vs City 2022
First leg City 4-3 Real, Etihad
Second Leg, Bernabeu
Mpaka dakika ya 90 City anaongoza moja bila, aggregate City 5-3 Real. Full time Real 6-5 City
2. 1. Real vs PSG 21/22 UCL,
First leg at Parc Des Princes, PSG 1-0 Real.
Wanakuja Bernabea second leg, dkk ya 40 Mbappe anaweka chuma ya pili. Aggregate PSG 2-0 Mardid baada ya kipindi cha kwanza.
Game iliisha Mardid 3-1 PSG.
3. Real vs Bayern, 2024
First leg Real 2-2 Bayern Ujerumani
Second Leg, Mardid.
Mpaka dakika ya Mpaka dakika ya 88, Bayern anaongoza moja bila, aggregate inasomeka Real 2-3 Bayer.
Full time Real 2-1 Bay, Agg 4-3
4. Real vs Wolfsburg
First leg German
Wolf 2-0 Real
2nd leg Spain
Real 3-0 Wolf
5. Vs Juventus 2018
First leg Italia
Juve 3-1 Mardid
Second Leg Spain
Madrid 3-0 Juve
Aggregate Mardid 4-3 Juventus
Tunashabikia mno timu za wazungu.
Tunalisahau Taifa letu linaangamia.
Hata wao hawashabikii kama sisi.
Kenya huwa wanajinyonga kisa Arsenal.
Mungu atuepushe na Upumbavu.
E Baba fungua akili zetu Vijana wa Kitanzania , Tuamke kwenye huu ugonjwa mkubwa.
Kuna varWameshinda lakini hawana furaha. Tafsiri ya kauli hii ipo mioyoni mwa mashabiki wa Arsenal.
Wakati tunajiandaa na come back kabambe dhidi ya Hawa watoto (Arsenal), nawatembeza chini ya barabara nyembamba ya kumbu kumbu, ili Hawa vijana wa Arsenal wajue ni dudu gani wanaenda kukutana nalo hapo Spain. Hizi hapa comebacks baadhi
1. Real vs City 2022
First leg City 4-3 Real, Etihad
Second Leg, Bernabeu
Mpaka dakika ya 90 City anaongoza moja bila, aggregate City 5-3 Real. Full time Real 6-5 City
2. 1. Real vs PSG 21/22 UCL,
First leg at Parc Des Princes, PSG 1-0 Real.
Wanakuja Bernabea second leg, dkk ya 40 Mbappe anaweka chuma ya pili. Aggregate PSG 2-0 Mardid baada ya kipindi cha kwanza.
Game iliisha Mardid 3-1 PSG.
3. Real vs Bayern, 2024
First leg Real 2-2 Bayern Ujerumani
Second Leg, Mardid.
Mpaka dakika ya Mpaka dakika ya 88, Bayern anaongoza moja bila, aggregate inasomeka Real 2-3 Bayer.
Full time Real 2-1 Bay, Agg 4-3
4. Real vs Wolfsburg
First leg German
Wolf 2-0 Real
2nd leg Spain
Real 3-0 Wolf
5. Vs Juventus 2018
First leg Italia
Juve 3-1 Mardid
Second Leg Spain
Madrid 3-0 Juve
Aggregate Mardid 4-3 Juventus. Hii Juventus ya watu haswa.
With closed roof, kelele mara 5 ya zile za Anfield, Arse8 hawatoamini wamepigwa na kitu gani
Hiyo game ya juve umeingiza watu chaka.Wameshinda lakini hawana furaha. Tafsiri ya kauli hii ipo mioyoni mwa mashabiki wa Arsenal.
Wakati tunajiandaa na come back kabambe dhidi ya Hawa watoto (Arsenal), nawatembeza chini ya barabara nyembamba ya kumbu kumbu, ili Hawa vijana wa Arsenal wajue ni dudu gani wanaenda kukutana nalo hapo Spain. Hizi hapa comebacks baadhi
1. Real vs City 2022
First leg City 4-3 Real, Etihad
Second Leg, Bernabeu
Mpaka dakika ya 90 City anaongoza moja bila, aggregate City 5-3 Real. Full time Real 6-5 City
2. 1. Real vs PSG 21/22 UCL,
First leg at Parc Des Princes, PSG 1-0 Real.
Wanakuja Bernabea second leg, dkk ya 40 Mbappe anaweka chuma ya pili. Aggregate PSG 2-0 Mardid baada ya kipindi cha kwanza.
Game iliisha Mardid 3-1 PSG.
3. Real vs Bayern, 2024
First leg Real 2-2 Bayern Ujerumani
Second Leg, Mardid.
Mpaka dakika ya Mpaka dakika ya 88, Bayern anaongoza moja bila, aggregate inasomeka Real 2-3 Bayer.
Full time Real 2-1 Bay, Agg 4-3
4. Real vs Wolfsburg
First leg German
Wolf 2-0 Real
2nd leg Spain
Real 3-0 Wolf
5. Vs Juventus 2018
First leg Italia
Juve 3-1 Mardid
Second Leg Spain
Madrid 3-0 Juve
Aggregate Mardid 4-3 Juventus. Hii Juventus ya watu haswa.
With closed roof, kelele mara 5 ya zile za Anfield, Arse8 hawatoamini wamepigwa na kitu gani
Real Madrid wanaenda kunyanyaswa tena kesho kwenye uwanja wao na hamtaamini.Wameshinda lakini hawana furaha. Tafsiri ya kauli hii ipo mioyoni mwa mashabiki wa Arsenal.
Wakati tunajiandaa na come back kabambe dhidi ya Hawa watoto (Arsenal), nawatembeza chini ya barabara nyembamba ya kumbu kumbu, ili Hawa vijana wa Arsenal wajue ni dudu gani wanaenda kukutana nalo hapo Spain. Hizi hapa comebacks baadhi
1. Real vs City 2022
First leg City 4-3 Real, Etihad
Second Leg, Bernabeu
Mpaka dakika ya 90 City anaongoza moja bila, aggregate City 5-3 Real. Full time Real 6-5 City
2. 1. Real vs PSG 21/22 UCL,
First leg at Parc Des Princes, PSG 1-0 Real.
Wanakuja Bernabea second leg, dkk ya 40 Mbappe anaweka chuma ya pili. Aggregate PSG 2-0 Mardid baada ya kipindi cha kwanza.
Game iliisha Mardid 3-1 PSG.
3. Real vs Bayern, 2024
First leg Real 2-2 Bayern Ujerumani
Second Leg, Mardid.
Mpaka dakika ya Mpaka dakika ya 88, Bayern anaongoza moja bila, aggregate inasomeka Real 2-3 Bayer.
Full time Real 2-1 Bay, Agg 4-3
4. Real vs Wolfsburg
First leg German
Wolf 2-0 Real
2nd leg Spain
Real 3-0 Wolf
5. Vs Juventus 2018
First leg Italia
Juve 3-1 Mardid
Second Leg Spain
Madrid 3-0 Juve
Aggregate Mardid 4-3 Juventus. Hii Juventus ya watu haswa.
With closed roof, kelele mara 5 ya zile za Anfield, Arse8 hawatoamini wamepigwa na kitu gani
Huyu sidhani kama anafuatilia mechi za Arsena anapocheza na hizi timu kubwa.Ushauri wangu nawapa
Muwe mnaangalia mpira
Wengi wanaangalia hii mechi kishabiki. Arteta akiapply Dark Art kwenye hii game, Madrid anaweza asipate goli hata moja.Hiyo game ya juve umeingiza watu chaka.
UEFA 2017/18
Quarter Final first leg
Juventus 0-3 Real madrid
Second leg
Real madrid 1-3 Juventus
Goli la madrid anafunga Ronaldo penalty dakika za jioni, kitu kilikua kinaenda extra.
Tukirudi kwenye mada, Watu mnapenda sana kukariri, Japo ninatamani Arsenal atolewe, Kwa hii Madrid ni ngumu sana kushinda kwa tofauti ya goli 3 mbele ya Arsenal.
Ukiacha safu ya ushambuliaji, Madrid mid yao ipo disjointed sana, kule nyuma napo hawapo solid kiviile sasa sioni ni namna gani watajibu hayo magoli.
Mkuu ngoja wafungwe tena ndipo waamini.Huyu sidhani kama anafuatilia mechi za Arsena anapocheza na hizi timu kubwa.
Kabisa.Wengi wanaangalia hii mechi kishabiki. Arteta akiapply Dark Art kwenye hii game, Madrid anaweza asipate goli hata moja.
We mwana simba una matatizo gani?.Tunashabikia mno timu za wazungu.
Tunalisahau Taifa letu linaangamia.
Hata wao hawashabikii kama sisi.
Kenya huwa wanajinyonga kisa Arsenal.
Mungu atuepushe na Upumbavu.
E Baba fungua akili zetu Vijana wa Kitanzania , Tuamke kwenye huu ugonjwa mkubwa.
Muosha nayeye huoshwa. Unadhan arsenal.wanaenda kama.hawajui..? Ubaya madrid akipanda sana vijana wa arteta watamuongezea goli kwa haraka sana. Aisee hii game nahamu nayo na ni kesho tuWameshinda lakini hawana furaha. Tafsiri ya kauli hii ipo mioyoni mwa mashabiki wa Arsenal.
Wakati tunajiandaa na come back kabambe dhidi ya Hawa watoto (Arsenal), nawatembeza chini ya barabara nyembamba ya kumbu kumbu, ili Hawa vijana wa Arsenal wajue ni dudu gani wanaenda kukutana nalo hapo Spain. Hizi hapa comebacks baadhi
1. Real vs City 2022
First leg City 4-3 Real, Etihad
Second Leg, Bernabeu
Mpaka dakika ya 90 City anaongoza moja bila, aggregate City 5-3 Real. Full time Real 6-5 City
2. 1. Real vs PSG 21/22 UCL,
First leg at Parc Des Princes, PSG 1-0 Real.
Wanakuja Bernabea second leg, dkk ya 40 Mbappe anaweka chuma ya pili. Aggregate PSG 2-0 Mardid baada ya kipindi cha kwanza.
Game iliisha Mardid 3-1 PSG.
3. Real vs Bayern, 2024
First leg Real 2-2 Bayern Ujerumani
Second Leg, Mardid.
Mpaka dakika ya Mpaka dakika ya 88, Bayern anaongoza moja bila, aggregate inasomeka Real 2-3 Bayer.
Full time Real 2-1 Bay, Agg 4-3
4. Real vs Wolfsburg
First leg German
Wolf 2-0 Real
2nd leg Spain
Real 3-0 Wolf
5. Vs Juventus 2018
First leg Italia
Juve 3-1 Mardid
Second Leg Spain
Madrid 3-0 Juve
Aggregate Mardid 4-3 Juventus. Hii Juventus ya watu haswa.
With closed roof, kelele mara 5 ya zile za Anfield, Arse8 hawatoamini wamepigwa na kitu gani
Katika historia pia mwambie madrid haja wahi kumfunga arsenalMkuu ngoja wafungwe tena ndipo waamini.
Ni tabia mbaya sana kuangalia tu historia pasipo kuzingitia current performance ya timu.
Maneno maneno ya nini, si kesho tu... kwanini tuongee sana. Ni either utaona aibu kwa post yako hii au kufurahia. Ni hayo mawili tu yatatokea.Wameshinda lakini hawana furaha. Tafsiri ya kauli hii ipo mioyoni mwa mashabiki wa Arsenal.