S Scropion_Master Senior Member Joined Jan 8, 2017 Posts 109 Reaction score 115 Jul 21, 2018 #1 Wadau nina kijana wangu, amefaulu vizuri tu form 6, na anahitaji kusoma kati ya hizo kozi mbili hapo juu, kwa anayefahamu indetail kuhusu hizo kozi. Msaada please ili niweze kumshauri..Maana binafsi sina uelewa nazo na kijana anataka kusoma.
Wadau nina kijana wangu, amefaulu vizuri tu form 6, na anahitaji kusoma kati ya hizo kozi mbili hapo juu, kwa anayefahamu indetail kuhusu hizo kozi. Msaada please ili niweze kumshauri..Maana binafsi sina uelewa nazo na kijana anataka kusoma.