Real estate business partnership

Zamazamani

JF-Expert Member
Jun 13, 2008
1,859
763
Jamani....penye wengi hapakosi mengi....mimi kupitia kampuni yangu inayohusika na mambo ya Real estate natafuta mwekezaji ambaye ninaweza kumkodisha ardhi kwa muda mrefu (long term lease), akaiendeleza kwa makubaliano maalum..

Actually nina plots saba tofauti i.e Kigamboni near Bamba Beach , Tabata Segerea, Mbweni JKT (beach plots) na Tegeta Wazo Hill

Size za plots zina vary between 1500 - 3500sqm....

Tupeane mawazo wadau.........
 
Mkuu hapo Bamba beach is it a cost plot yaani imepakana na bahari?
I was once there bana and the place is so cool.
 
...hapana taka lease wewe sema bei tununue!
 
Yap ile ya Bamba beach iko karibu na bahari..ni kama 150m from the sea.....
 
Mkuu hapo Bamba beach is it a cost plot yaani imepakana na bahari?
I was once there bana and the place is so cool.

Ha!ha!ha!ha!ha!ha!...those times of AIESEC.......acha bana that place.....mkuu, menikumbusha mbali......! Nilijifunza kuogelea kule......!

But jamaa anazipangisha kwa US$20K? Halafu kwa nini tuna haka kaugonjwa kakuquote bei kwa hela za kigeni wandugu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom