Wakuu heshima zenu.
Karibuni Real Aviation mpate hudama bora za usafiri wa angani kwa bei nafuu kuliko zote Tanzania na duniani kwa ujumla.Tunatoa Huduma za tiketi kwa abiria na mizigo; ndani na nje ya nchi.Kwa msafiri; hatokatwa hela ya Huduma; ni free hapa kwetu.Na ukisafiri na sisi mara tano unapata punguzo la asilimia kumi.Tunapatikana Terminal 1 Julius Nyerere International Airport na typo njiani kufungua ofisi Terminal 2
Karibu usafiri na sisi
Real Aviation Services