RE:

mtunzasiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
1,449
Reaction score
993
Jibu ni moja tu kwa maswali ya Petro. Nalo ni hili " Mhimili wangu una mizizi mirefu kuliko mihimili mingine kwa sababu mimi na mhimili wangu ndio natoa fedha na maelekezo mengine kwa mihimili mingine".
Hii nayo ni ufisadi mwingine kulazimisha matokeo kisa pesa za matumizi unasaini wewe. Natumaini kuna kesi ya matumizi mabaya ya ofisi ya umma.
 
Imetumwa kimakosa admin unaweza nisaidia kuifuta hii cc:admin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…