mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,446
- 988
Hii nayo ni ufisadi mwingine kulazimisha matokeo kisa pesa za matumizi unasaini wewe. Natumaini kuna kesi ya matumizi mabaya ya ofisi ya umma.Jibu ni moja tu kwa maswali ya Petro. Nalo ni hili " Mhimili wangu una mizizi mirefu kuliko mihimili mingine kwa sababu mimi na mhimili wangu ndio natoa fedha na maelekezo mengine kwa mihimili mingine".